mtasubiri - diamond platnumz lyrics
mtasubiri lyrics
mmmh mmmh mmmh
eeh nini sasa
eti amina, dua zimeitikiwa
ashtuti nije kupa mali yako
ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
mahututi nasubiri tiba yako
na nisipo kuona na raha nakosa
situlii mpaka unik*mbate darling
ooh
kiranga chote mi koma, ukianza dear
shughuri kwisha yangu habari
eti unanipenda mi (mmnh)
unanitaka pia (mmnh)
unaniamini (mmnh)
na umeniridhia
oh unanipenda mimi (mmnh)
unanitaka pia (mmnh)
unaniamini (mmnh)
na umeniridhia
mnasubiri tuachane
ooh mtangoja
mtasubiri sana mtasubiri
wanasubiri tuachane
mtasubiri sana mtasubiri
vuten kiti mkae
mtasubiri sana mtasubiri
ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
ooh baby penzi laini sitoi buja
na moyo nishaweka kwako nanga
wanajisumbua kukesha kwa waganga
na presha zitaqwashuka na kupanda
tena deka we shaukwa baby tamba
eti unanipenda mi (mmnh)
unanitaka pia (mmnh)
unaniamini (mmnh)
na umeniridhia
oh unanipenda mimi (mmnh)
unanitaka pia (mmnh)
unaniamini (mmnh)
na umeniridhia
mnasubiri tuachane
mtasubiri sana mtasubiri
mtakesha
mtasubir sana mtasubiri
mtandike jamvi mukae
mtasubiri sana mtasubiri
mtangoja sana
wanasema eti umeniroga
ni kweli ila inawahusu nini
hunipendi ila unanichuna
ni kweli ila inawahusu nini
eti wanasema wewe ni kichеche
ni kweli ila inawahusu nini
utanichezеa kesho uniache
ni kweli ila inawahusu nini
Random Song Lyrics :
- too young - tom williams & the boat lyrics
- a lua e nós - tribo da periferia lyrics
- 24 horas - los primos mx lyrics
- all the way - the robert cray band lyrics
- ornette - madlib lyrics
- keine ahnung wo - testo lyrics
- beautiful day - back home lyrics
- 31er - krakuri lyrics
- christmas no. 1 hit (lucky kitty maneki neko) - locas in love lyrics
- do it (new version) - ace wilder lyrics