chitaki - diamond platnumz lyrics
we ndo kitumbua we ndo sambusa
basi njoo unichum baby ndo tuseme umesusa
we ndo mwisho wa reli
kwako nimeweka nukta
walokwambia nala zuchu sio kweli wanazusha
wanao kaa vikao sisi kutujudge
wape pole yao wanatw*nga maji
nawaongeze bidii kwenye mlogaji
tupo ten gb penzi full charge
fanya wainamaa wainukaa
kiguu kinyanyue kama unatupa
yani wainamaa wainukaa
kiguu kinyanyue kisha weka nukta
mi kuachana na wewe aku!
chitaki chitaki
chitaki chitaki
chitaki chitaki mi
kuachana na wewe
chitaki chitaki
chitaki chitaki
chitaki chitaki mi
mchana nikupe tango usiku ndizi swadakta
tuanze fanya mambo kabla umeme hawajakata
mapenzi mwenzie kiw*ngo na umejariwa taranta
na unanijua kwa jambo hatoki mtu kwa mkapa
eeh! aaah
amuli chi chi chi
amuli chacha chacha
kamoyo ti ti ti nimeozaje sasa
amuli chi chi chi
amuli chacha chacha
kamoyo ti ti ti nakuachaje sasa
wanao kaa vikao sisi kutujudge
wape pole yao wanatw*nga maji
nawaongeze bidii kwenye mlogaji
tupo ten gb penzi full charge
basi fanya
fanya wainamaa wainukaa
kiguu kinyanyue kama unatupa
yani wainamaa wainukaa
kiguu kinyanyue kisha weka nukta
mi kuachana na wewe aku!
chitaki chitaki
chitaki chitaki
chitaki chitaki mi
kuachana na wewe
chitaki chitaki
chitaki chitaki
chitaki chitaki mi
Random Song Lyrics :
- lover - john michael howell lyrics
- toxic - alpha (q-pop) lyrics
- лайкаю (i like you) - spin seoul lyrics
- holy moly (blueface remix) - dustero lyrics
- pirañitas - actitud frenetica lyrics
- you're still here - i wanna be mesmerizing to you lyrics
- dissimulate - invisions lyrics
- bigger than this town - steven lee olsen lyrics
- gravity (mixed) - notion lyrics
- ved - johan lindell lyrics