moyo wangu - diamond d lyrics
(chorous)
moyo w-ngu..moyo w-ngu mama..
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa!
moyo w-ngu,moyo w-ngu mama
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa
(verse one)
upole w-ngu simanzi eeeh!
kw-ngu kupenda maradhi iiih!
lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina…
jichoni kw-ngu kibanzi eeeeh!
ninakapenda kamanzi iiih!
oooh licha ya k-mthamini kama shilingi tatizo hata raha sina….
ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi yanayonipa mateso
ukweli hatakupenda sina raha! ona nakonda kwa mawazo
masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eeeh! mara iiiiii! hata najuta kupenda….
(chorous)
moyo w-ngu..moyo w-ngu mama..
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa!
moyo w-ngu,moyo w-ngu mama
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa
(ve-rs- two)
nikutwa kucha maneno,kosa si kosa maneno ilimradi tu karaha tantalila!
(sina raha)
ona sina tena mipango (aah ho aah!)
kutwa nzima nnamawazo jina mh!
aaaah! sina raha oooh! mama
tamu ya wali ni n-z- eeeh!
raha ya supu mandazi iiih!
raha yangu me kupendwa tu naye lakini nyota sina
laana napata na radhi eeeh! nawakufuru wazazi iii!
kwakung`ang`ana me kutaka kuwa nae lakini bahati sina!
masikini roho yangu (roho yanguu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae
kkila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo
masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eeeh! mara iiiiii! hata najuta kupenda
(chorous)
moyo w-ngu..moyo w-ngu mama..
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa!
moyo w-ngu,moyo w-ngu mama
moyo w-ngu mimi umeniponza mamaa x2
Random Song Lyrics :
- 유난히도 (unfortunate) - na yoon kwon lyrics
- relax - damassaclan lyrics
- stop talking - miya folick lyrics
- fiddler jones - tim o'brien & darrell scott lyrics
- πάνω στην πουτάνα (pano stin poutana) - billy sio lyrics
- recycled air - nervus lyrics
- negro - acru lyrics
- la cambiale - fred buscaglione lyrics
- dead roses (prod.izak) - 914 jip lyrics
- bubblegum kisses - curtis waters lyrics