in love - demi alicia ft scott montana lyrics
verse 1
my baby boo
nipeleke mdogo mdogo
niwewe tu!
nimekupa w*ngu moyo
w*ngu kamutu mutu
kwako nimekua bubu
napagawa wanibusu
umeniganda sina kutu. x2)
bridge
tukiwa nacho twakigawa
hata kama kidogo kidogo
natukikosa pia sawa
tusubirie kidogo x2)
chorus
i’m in love
lala la la love
lala la love
i’m in love
lala la la love
lala la love x2)
verse 2
attention
unanibamba
and listen
wewe ni number
step one two
wewe ni mama w*ngu
achana ya watu
wewe ni fungu langu
umenipa pendo hili
kwako mimi
nishabahili
kwako nimefika kingi
umenipa nini
ama ni jini
nakama nimekosa nambie
usisite nakupenda wewe
usichotaka usinifanyie na mie
usije niumiza wewe
bridge
tukiwa nacho twakigawa
hata kama kidogo kidogo
natukikosa pia sawa
tusubirie kidogo x2)
chorus
i’m in lovе
lala la la love
lala la love
i’m in love
lala la la lovе
lala la love x2)
Random Song Lyrics :
- midas - ni$ha lyrics
- main focus - youngquali211 lyrics
- mirror - the venopian solitude lyrics
- gha b love - anys lyrics
- ayarunas - herbert quinteros lyrics
- ok ok? - half•alive lyrics
- kickbakk - hl wave lyrics
- vii - chikano & granddad woolly lyrics
- purple dress - michael miller lyrics
- şener şen - kök$vl lyrics