lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

yeye tu - dcamp africa lyrics

Loading...

[verse 1]
deluca
usiku mfupi nikiwa na yeye tu
nawaza morning nikiamka nimuone yeye tu
ananipa raha and my day is good (day is good)
i feel fine
she make me stay put
and she says
when i look at you
baby boo
najiona mimi tu
yeah that true
wao wanataka kunipiga bao
achana na habari zao
you get me now
teal we go down
she is my smile
(yeye tu)
my number one
(yeye tu)
namuita queen
(yeye tu)
ananiita king
(yeye tu)
nikiwa chizi
(yeye tu)
and when she comes over
and do the bend over
we make it nasty
we don’t do past
kuoana must
forever last

[chorus]
dc
she rock n roll
she k!lls me wallah (she murder uuuuh yeah)
she murder uuuuuh
they way she talking
she walking
she fly namuweka juu (namueka juu yeah)
nikimjoke hachoki
anafurahi anasema stop it boo (baby boo)
usiombe a cry kwa udhuni
i swear our love is true
(yeye tu)
sometimes i’m sad
(yeye tu)
sometimes i’m cool
(yeye tu)
napo muhitaji she f-ck me good

[verse 2]
dc
najihisi mimi all the time nikiwa na yeye
my half and women furaha yangu ameishika yeye
hajui kununu me namuita baby eeh
she makes me crazy
nananana
sipendi haseme
babyyyy
tupige picha tupost
paka w-nga macho ya bast
it’s only her that i trust
ni mimi na yeye tu basi
around the world kwa tour
wanafaki wote watajua
hajui kujishaua
alafu mtoto wa kishua
na bila yeye naugua
nikiwa na yeye tu napagawa na chachawa
mapenzi yake yamenishika ka anamadawa
i wish ningemjua mapema
maana mtoto yuko vyema
au ndo rabda angenitema
nonono asinge nikacha
vyenye namjua maana love yake iko poa
k-mtoa mashaka ndicho anachotaka
iwe nice couple isioboa
yeye tu ndo nae mtaka
and b-tches love me no more
mapenzi yetu sio mapicha picha
jinsi navyo mpenda she know
(she knows she knows)

[chorus]
dc
she rock n roll
she k!lls me wallah (she murder uuuuh yeah)
she murder uuuuuh
they way she talking
she walking
she fly namuweka juu (namueka juu yeah)
nikimjoke hachoki
anafurahi anasema stop it boo (baby boo)
usiombe a cry kwa udhuni
i swear our love is true
(yeye tu)
sometimes i’m sad
(yeye tu)
sometimes i’m cool
(yeye tu)
napo muhitaji she f-ck me good

music audio by dc and deluca, performing yeye tu ©2019 lostboysmusic / elleven studio

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...