lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mwalimu - daz baba lyrics

Loading...

(instrumentals)

[chorus]
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)

muite daz baba, ukipenda ‘muite daz mwalimu wa daz nunda

[verse 1: daz baba]
ulimwengu wa sasa mithili ya darasa
tunajifunza mengi kutokana na makosa
kivipi ugombane na wanadamu kama maisha unafahamu?
penye riziki huwa hapakosi chuki
ndio maana kutafuta mwenzenu mi wala sichoki
kazi ‘ni popote pale
ili mradi
mtu riziki yako upate
ila najua wako ambao wanachukia
hasa wakisikia mtu fulani anaendelea…
ulipo shika nawe mwenzangu shikilia
tukeshe k*muomba mola atatusaidia

[chorus]
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
muitе daz baba, ukipenda ‘muite daz mwalimu wa daz nunda
muite daz baba, ukipеnda ‘muite daz mwalimu wa daz nunda
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
[verse 2]
yatima wanadhulumiwa ndio maana wana machungu
kama unaijua haki ‘saidia kilio changu
siwezi kupata cash nikiwa nimekaa
inanipasa ku*suffer ‘home tusife njaa
pesa kitu kidogo ina mambo makubwa
inavunja heshima kati ya mdogo na mkubwa
utaheshimika sana ukiwa nayo
kama hauna utapiga mihayo

[chorus]
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
muite daz baba, ukipenda ‘muite daz mwalimu wa daz nunda
muite daz baba, ukipenda ‘muite daz mwalimu wa daz nunda
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)
niite daz baba, ukipenda ‘niite daz mwalimu (elimu dunia)

[outro]
…ananionea
…hajaandika
…ananionea bwana
…hajaandika
…kanichukulia ubuyu w*ngu, kanichukulia ubuyu w*ngu, (mwandiko mmbaya)
kanichukulia ubuyu w*ngu, mi nitampiga, mwalimu
…ananionea bwana, ananionea, muangalie (hajui kusoma)
…muangalie kubwa zima linarudia darasa
…lingalie kubwa zima linarudia darasa liangalie
mwalimu kachukua*
marahaba
acheni kelele someni nyie!
(instrumentals)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...