utalala - dayoo lyrics
yap
uh, naitwa mangi
yaani chagga tena nah
oh yeh
ooh
mmh yeh
(o.righty) ah
kiukweli mi sina kitu
hali yangu kama unavyoona
tu mishe za kule na huku
viwalo vyangu vya ilala boma
je kweli umeridhiana na mi
vijora vya buku sita utavaa baby
kuna maneno mengi mtaani
mara nakuzeesha utaimili kweli
usiropoke ukinuna ukiwa na hila
we niseme ata nikiwa na hasira
usijifunze kukaa na jambo moyoni
litakuja lisumbue baadae
utakutana na nguna
je we utakula
vya kulumangia
ndo n*z*ngatia
msaada wa ndugu sina
je utavumilia
umekuja mazima
we uje mazima
na je baby?
utalala lala?
usingizi mororo
utalala lala? (ah yeh mm ah)
kwenye bungalow giza totoro
utalala lala? (weh eh nah)
gheto nna ndoo tu na godoro
utalala lala? (weh eh mh)
kesho tuamkie kiporo
ah
nashukuru umeona unifae (yeh)
wakati ambao nipo juu ya mawe (yeah)
ushaamua nshaamua na iwe (ah aah)
sa baadae usije unikatae
kiganjani mw*ngu usiniponyoke
tupendane wambea tuwadondoshe
yani baby nishike twende wote
wakikutisha nipo hivyo usiogope
we kw*ngu zaidi ya sarafu sarafu baby
kukupenda mbona sana tu sana baby
utakutana na nguna
je we utakula
vya kulumangia ndo n*z*ngatia
msaada wa ndugu sina je utavumilia?
umekuja mazima we uje mazima
na jee baby
utalala (nami) lala (yeh)
usingizi mororo
utalala (ah yeh) lala
kwenye bungalow giza totoro
utalala (we eh ah) lala
gheto nna ndoo tu na godoro
utalala lala? (weh eh mh)
kesho tuamkie kiporo
Random Song Lyrics :
- dead stock (she) - @crossmyvirus lyrics
- hiçbir şeyim yok benim - wingo slace lyrics
- silent sacrifice - final disaster lyrics
- scum - kai erebus lyrics
- no church in the wild remix - tyler nicholas casey lyrics
- sin mapa ni rumbo - dostrescinco, gabino & bruno cammá lyrics
- woke up with a headache - vintastic lyrics
- i don't know why - toni carroll lyrics
- psychosis - seddythegod lyrics
- raptor - mikezup lyrics