samahani - davie karr lyrics
Loading...
hizi manywele sijazichana zinafanana na dredi
madigaga juu ya macho nyanya nilipitia kwa pedi
kudunga vile nataka kila siku kama weekendi
utanipata na goro juu masilver huw-nga sipendi
msupa wako mimi napita naye
nikitema kiswahili napiga miti hadi baadaye
hapo kwa kiti hapo kwa ndai
nazama fiti kama nyambizi mpaka victoria anatokwa na the nile
ka sikujui, sikutambui
hawa mafisi wanafikiri wanaweza kimbizana na chui
wacha watry ka injera
ule mbaya – call me della
kama ni vela mimi huvuta tonnes, utadhani trailer
wira ni wira, mimi nafanya muziki
ukinihalla simu sishiki ka si kuhusu kupata shilingi
dame akiringa, p-ssy ni nyingi
ka huamini shika madigits ukaulize my n-gga kanyingi
kama unadhani mi najali, samahani woi
Random Song Lyrics :
- whassup - frea robinson lyrics
- wild - misea feat. marro lyrics
- can you hear me - neemy lyrics
- leave this town - tom schick (at) lyrics
- cuidao por ahí - j balvin & bad bunny lyrics
- running from wolves - shireen lyrics
- ageless - the home team lyrics
- husky fight! - broken streetlights lyrics
- trap na boki - lil solófa lyrics
- home - dutch melrose lyrics