uboya - datty tz lyrics
#intro
u uhhhhh
aaahhhhhh
kazuu vibe
#verse
eti simu zangu huzioni
inamaana umefumbaa macho
masikio usikii uonii
sawa unanidharau sana darling
mbona unapitiliza unapiga
bila kujali yangu halii
eti umehamia kabisa
ata uso w*ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w*ngu uhhuuu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
#instrumental
#verse 2
mery upo wapi mama alichonitenda hawa
siungwana bhana,k*mbe zile out zilimtoa roho
mbona sik*mtenga twaenda nae show
k*mbe moyo moyo anasema ngoja ngojaa
nakuta status kampost nicco
nikasema niende nawakuta woote
niulize nikaf*kuzwa toka tokaa
eti umehamia kabisa
ata uso w*ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w*ngu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani eheeheeheee
#instrumental
Random Song Lyrics :
- dor do povo - maglera doe boy lyrics
- spooky send/diss - biske lyrics
- opening letter - geiko lyrics
- gone fishing, pt. 1 - vic spencer lyrics
- falling down - vyok lyrics
- lukka avdeling - kerbelai lyrics
- noleydi - rəvanə əmiraslanlı lyrics
- passion - zorn lyrics
- hey babe - seán finn (irl) lyrics
- go - yung sol lyrics