lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hapana - datty tz lyrics

Loading...

najua mnatutakia mema
mnataka tuishi vizuri
ila hamjui anayotenda
mapaka naonekana kiburi
najua kaja sema vitu vya uongo
ili mradi nionekane mi ripopo
k*mbe baba yeye ndio moto
wakuotea mbaliii

bado nampenda mimii
sikuondoka kwa kupenda
ila mambo anayotenda mimi hapana

hapana
dady hapana
mom hapana
hapanaa
hapana
hapaanaa

ooohhhh ooohohhhh
ooohhhh ooohohhhh

sometime you lie me, you cheat me
you drive me like a crazy
unarudi asubuhi kama uongo sema
unarudi umelewa kama uongo sema
ila umewahi umesema vya uongo
ili mradi nionekane mimi mi ripopo
k*mbe baba wewe ndio moto
wakuotea mbaliii
bado nakupenda
sikuondoka kwa kupenda
ila mambo unayotenda mimi hapana

hapana
dady hapana
mom hapana
hapanaa
hapana
hapaanaa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...