lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

utantoa roho - darassa lyrics

Loading...

mwana mama, mwana mama yoo
mwana mama, mwana mama yoo
oooh, mwana mama ooh
oooh, mwana mama ooh

moyo ukish*ga simamaga kidedea
unakutaga unapiga na kujichezea
mtu ukipenda you don’t care (you don’t care)
hujui unakokwenda you don’t stare

yaani fumbua macho kama sio dili
na bado kukikucha kwako niko willing
kufanya vitu kama sinaga akili
ni sawa mtu ale mi nilipe bill

nacheka njia gani uko fire
mapenzi yamesala yanaumizaga vibaya
presha inashuka kupanda
kuwaza kuwanda kwa kiza na mw*nga

mwana gwe **
mwana gwe **
*****

utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby

baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo

yes i love so much
i adore you
i cannot deny you
without you am incomplete

you are my number moja girl
namba mbili tatu nne
you are expensive no lies
come closer nipe kiss

umeuwasha moyo kuizima siwezi
sina ujanja umeniteka na penzi
ni maisha ya vaa kuvua sipendezi
na nimeshakaa sisogezi siongezi

whine fi me girl come to daddy
the way you whine it you look so pretty
since your style you got black beauty
**
nakuwaza nakuwaza
you de mother am the father
nakuhitaji wewe
look at the stars in your eyes
na lipstick on your lips
nakuwaza nakuwaza
oooh sea saw, my sweet potato
oooh sea saw, my sweet potato
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby

utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby

baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...