lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

size yao - darassa lyrics

Loading...

i’m looking for my money, money where you are
sijalala nyumbani money on my mind
nyakati za mtaani money where you are?
where you are? where you are? eeh

roho safi, low cut, nywele si akili
ficha white si tunapinduka mtaa wa pili
kahawa ndo nakaa kitako nasubiri
ukitaka nafasi ukitaka power go and get it

kaka mgongo hupati labda nikupe katika
nishazoea kupanda watu kama majukwaa
it doesn’t matter where you from
it doesn’t matter who you are
kubali kataa ubao hauandikwi kwa mkaa

nakwambia we kama je alivyoniambia mimi
lazima machozi jasho na damu mwilini
usiwaamini watakwambia hauwezi kuwini
ng’ombe masikini nini nini huwezi kutoka chini

eeeh eeh sio size yao
eeeh eeh sisi sio size yao
eeeh eeh sio size yao
wameshajua sisi sio size yao
oooh ooh sio size yao
oooh ooh sio size yao
oooh ooh sio size yao
wameshajua sisi sio size yao

kuzaliwa ngare naro tu yenyewe baro
nimekuzwa na ugali kachumbari masala
natoka mtaani dirisha pembeni mtaro
mafekeshe ndo wamefanya nikaitwa njanjaro

weka distance mi nawe hatufanani
usifanye mistake, mi nawe hatujuani
it doesn’t make sense hainiingii kichwani
why you hate man? unataka nifeli njiani

i’m a badman toka dogo dogo
sekunde mtu sekunde mbogo mbogo
kufika hapa sio kazi ndogo ndogo
ukitaka kuacha kapa kakuwa fogo fogo

eeeh eeh sio size yao
eeeh eeh sisi sio size yao
eeeh eeh sio size yao
wameshajua sisi sio size yao

oooh ooh sio size yao
oooh ooh sio size yao
oooh ooh sio size yao
wameshajua sisi sio size yao
najua nimetoka wapi
i’ve been struggling for my life eeh
if i never take chances
nothing gonna change in my life eeh

najua nimetoka wapi
i’ve been struggling for my life eeh
if i never take chances
nothing gonna change in my life eeh

(touch touch)
classic music

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...