
loyalty - darassa lyrics
nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
siku nikienda kulala nitaota mapenzi
ukisikia naenda, nafura najiimbia
kama ukisikia naimba naimba mapenzi
ukiniona nalia, nifute machozi
jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
nilishafanya vi ujanja ujanja vya kubuni
kaisoma namba kwa kiroom
kujichanga changa mpaka mbuni
na k*mbe najichanja chanja kama kuni
nitafute wapi nakosea step
labda nivae fashion nijenge shape
mwishoni i try to doubt myself
siwezi kuogelea ya maji marefu
ndio maana bado nakuwa na kiwewe
maswali najiuliza mwenyewe
nasema nitapata w*ngu je ni wewe?
naona unaweke kifaranga na mwewe
mapenzi yanataka uyape respect
commitment assuarance
mapenzi sio kitu kama pesa ya bеnki
umpe bunduki mlinzi akutetee
nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
siku nikiеnda kulala nitaota mapenzi
ukisikia naenda, nafura najiimbia
kama ukisikia naimba naimba mapenzi
ukiniona nalia, nifute machozi
jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
mi nina roho na moyo
ndani sio wa chuma roboti
so nahitaji furaha amani
ya upendo ndo nipate comfort
nimetafuta tafuta njiani
mtu wako mwamina wokoti
can i company you, baby?
won’t you give loyalty?
marafiki zangu wakikutaka utasemaje
namwambia please, respect yourself
na kama napata utachezwa itakuwaje
i will run for you baby when you need my help
mapenzi yanataka uyape respect
commitment assuarance
mapenzi, yeah
nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
siku nikienda kulala nitaota mapenzi
ukisikia naenda, nafura najiimbia
kama ukisikia naimba naimba mapenzi
ukiniona nalia, nifute machozi
jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
Random Song Lyrics :
- la tirana - brunella torpoco lyrics
- mine - saint xix lyrics
- sauver l'amour - lisa angell lyrics
- smooth hardcore - beneficence lyrics
- sve si znala - relja lyrics
- until we break - from ashes to new, memphis may fire lyrics
- 墨西哥下り (mekishiko kudari) - ジンタ (jinta) lyrics
- karma - kris e. (usa) lyrics
- задыхаюсь (i'm suffocating) - sapphireee lyrics
- le tessitrici di seta - daisy lumini lyrics