leo - darassa lyrics
(classic music)
(abbah)
h*llo its me again
mr burudani, take away the pain
pole kwa kuchelewa si unajua foleni
nawapa vidonge kutuliza complain
kichwa, sijabeba kama pambo
akili, nimetega kwenye chambo
fullu, charge na fullu bundle
ukileta usoo, unawekwa kando
ana maseke ukitete
muulize ila kama mapepe
mtulize, sema naye
oooh aaah eeeh
oooh aaah eeeh
kama uliibiwa cheche
imekuwa kash*sh*
huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
sema nao
oooh aaah eeeh
wadeseke
oooh aaah eeeh
utaua ua bure sijalala
nimeficha tu makucha
huku ndani ndo kwanza k*mekucha
vunja mifupa, waulize nani kaachiwa bucha
leo, kama ni kishindo tingisha(leo)
kama ni mzuka pandisha(leo)
kama ni maji mwagika(leo)
kama ni mn*z* katika(leo)
kama ni kishindo tingisha(leo)
kama ni mzuka pandisha(leo)
kama ni maji mwagika(leo)
na kama ni mn*z* katika(leo)
kama pochi limechanika
speaker zinakita
mbona hapata chimbika leo, yeah yeah
mamacita, take a picture tunahakikisha leo
(leo, leo, leo, leo)
eeeh, waweke walete mpira kati
nimeondoka kidogo tu vagaranti
niko online, nataka kuchati
am not finishing, am just getting started
mazungumzo baada ya habari
cheza mbali, maana hali sio shwari
jichanganye kama kachumbari
chumvi mpaka kwenye chai hii ya leo kali
umebugi step ebu cheki cheki
if am not mistaken, umegeuza gazeti
ukitaka kazi ya jeshi
don’t forget hakuna kuku petty petty
ana maseke ukitete
muulize ila kama mapepe
mtulize, sema naye
oooh aaah eeeh
oooh aaah eeeh
kama uliibiwa cheche
imekuwa kash*sh*
huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
sema nao
oooh aaah eeeh
wadeseke
oooh aaah eeeh
kama ni kishindo tingisha(leo)
kama ni mzuka pandisha(leo)
kama ni maji mwagika(leo)
kama ni mn*z* katika(leo)
kama ni kishindo tingisha(leo)
kama ni mzuka pandisha(leo)
kama ni maji mwagika(leo)
na kama ni mn*z* katika(leo)
kama pochi limechanika
speaker zinakita
mbona hapata chimbika leo, yeah yeah
mamacita, take a picture tunahakikisha leo
(leo, leo, leo, leo)
Random Song Lyrics :
- drag king - sorry lyrics
- un lugar en tu almohada - alba molina lyrics
- werk - fame frasier lyrics
- your body is a wonderland - live at c.w. mitchell pavillion - john mayer lyrics
- ordalie - narkys lyrics
- down the river - the crane wives lyrics
- rain, pour - shyheim lyrics
- no attitude - kc lyrics
- said and done - jackie onassis lyrics
- 氷鎖 (hyosa) - rurutia lyrics