lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

information - darassa lyrics

Loading...

intro

did your mom not tell you, don’t go play outside

when the weather is bad ? !!!

verse 1

usipolala macho hauna chako umeuwawa

ukikimbia battle we sio commando ni coward

uku kina cha bahari umezoea kuoga kwenye bwawa

uku umekuja sayari haina kunguni haina chawa

utapagawa manyanga madawa, ni mungu anagawa ndio anayenipa power

tuko kwenye rush hour, kutoka bila shower kula bila kunawa

bridge

ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi masudi
no cash no food baba utakula hiyo attitude

ukiniletea mood mimi ndio napendaga sana very good, very good

no cash no food hapa utakula hiyo attitude

chorus

oyaa we si unataka information w.w.w download application

si unapenda penda kujua inavyokwenda situations ok w.w.w download

application

oyaa oyaa oya we si unataka informations w.w.w download application

si unapenda penda kujua inavyokwenda situations ok w.w.w download

application

verse 2

radio imemeza kanda
hawana nyimbo washasanda

kitumbua kimeingia mchanga

mbona wata watabamba

propеr proper ganda

mara kimeshuka kimepanda

kulеta pigo za kishamba

moto moto pamba puuh

bridge

ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi masudi

no cash no food baba utakula hiyo attitude

ukiniletea mood mimi ndio napendaga sana very good, very good

no cash no food hapa utakula hiyo attitude

chorus

oyaa we si unataka information w.w.w download application

si unapenda penda kujua inavyokwenda situations ok w.w.w download

application

oyaa oyaa oya we si unataka informations w.w.w download application

si unapenda penda kujua inavyokwenda situations ok w.w.w download

application

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...