hasso - darassa lyrics
wanasubiri kisha piga bao
waje kusema ulisotaga nao
wana habari zangu mi sina zao
wanapiga campaign mbonge na vikao
vikao vikao vikao vya kwao
wako ndani nje wametega antenna
huku mtaani watu hawakosagi cha kusema
amsha majirani maana tumerudi tena
kila chaka kila banda la sinema
nitizame kwenye macho niambie unaona nini
hasso hasso
ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
jasho jasho
maisha safari somebody say oooh
nimetoka mbali somebody say yeah yeah yeah
i don’t, i don’t
i don’t stop
no matter what, what
no mattter what happen
i don’t, i don’t
i don’t stop
no matter what, what
no mattter what happen
nataka power respect
go get money, get money oh get money
napiga story sawasawa
oh that’s funny
nataka power respect
go get monеy, get money oh get monеy
napiga story sawasawa
oh that’s funny
kama usipotoka kuifuata haitembei
ukiitafuta ipo riziki haipotei
it doesn’t matter what them people say
i gotta go i gotta do my way
mwanaume ukijituma hardwork pays
mwanamke ukijitunza anapanda bei
kitu kama chako n0body can take away
people talk too much muda hauongei
no worry, no doubt, no question
hakuna milio hakuna vibration
what you talking about nionyeshe
mbona unazunguka kwenye roundabout no direction
nitizame kwenye macho niambie unaona nini
hasso hasso
ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
jasho jasho
maisha safari somebody say oooh
nimetoka mbali somebody say yeah yeah yeah
i don’t, i don’t
i don’t stop
no matter what, what
no mattter what happen
i don’t, i don’t
i don’t stop
no matter what, what
no mattter what happen
nitizame kwenye macho niambie unaona nini
hasso hasso
ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
jasho jasho
Random Song Lyrics :
- don't you know - pepper lyrics
- 고생 많았어 (lot of hardwork) - yoo yong min lyrics
- rules of flex - lil phan lyrics
- dip (single version) - tyga lyrics
- cuando todas las historias se acaban - maldita nerea lyrics
- lucky day - 11 acorn lane lyrics
- where i belong - kelia lyrics
- surfin' usa - harry quintana lyrics
- black market - charlie ray lyrics
- hartbreakvil - cold hart & prettyheartbreak lyrics