lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chanda chema - darassa lyrics

Loading...

abaaaaah

verse 1; (dar-ssa)
tell me now what you do for the love (what you do for the love)
give it up, give it up for the love (give it up for the love)
sijali unapakwa ina, unapaka poda/
fanya mambo yako, nakungoja/
moyo umeshataka, mi nafata order/
huwezi kukata kiu, maji kwa kisoda/

pre-chorus; (dar-ssa)
message sent, shika kamata
kama unataka mapenzi, yako hapa
mchaka mchaka, chapa chapa
wakituona, wanatapatapa
umeweka kambi maeneo haya
wanasema ua zuri limeota pabaya
never die, never expire
tusichezee mapenzi ya moto fire

chorus; (marioo)
na kama mapenzi safari, mi kwako nshafika nakokwenda/
au kama bahari, ohhh basi njifunze kuogelea/
na unge kwa mchezo usiwe kamali, au kubeba maji kwenye tenga/
leo mbele yako nakula kiapo/
wallahi mie
sina mwengine tena, wa kufanya nicheke/
na kama chanda we ndo chema, cha kuvikwa na pete/
wallahi mie
sioni mwengine tena, wa kufanya nicheke/
na kama chanda we ndo chema, cha kuvikwa na pete/
aaaah.. mmmmh

verse 2; (dar-ssa)
tell me now what you do for the love (what you do for the love)
give it up, give it up for the love (give it up for the love)
kwenye miiba nachechemea for my woman/
bahari nitaogelea for my woman/
a real man cares for the woman/
na naweza kukosea kama human/
ntakufanyia changes/
ntakupatia mapenzi/
nitakutungia tenzi/
nikuimbie/
nikusifie, ujisikie/
uko na mie, sogea nikwambie/
siwezi acha kiti chako, mtu akalie/
siwezi vunja moyo wako, sitaki uumie/
yes i do, am telling the truth/
my heart, my love, all i give it to you/

chorus; (marioo)
na kama mapenzi safari, mi kwako nshafika nakokwenda/
au kama bahari, ohhh basi njifunze kuogelea/
na unge kwa mchezo usiwe kamali, au kubeba maji kwenye tenga/
leo mbele yako nakula kiapo/
wallahi mie
sina mwengine tena, wa kufanya nicheke/
na kama chanda we ndo chema, cha kuvikwa na pete/
wallahi mie
sioni mwengine tena, wa kufanya nicheke/
na kama chanda we ndo chema, cha kuvikwa na pete/
aaaah.. mmmmh

bridge; (dar-ssa)
tell me now what you do for the love (what you do for the love)
give it up, give it up for the love (give it up for the love)
eeeeh
shika kamata
yapo hapa
chapa chapa
wakituona, wanatapatapa
(the mix k!ller)
never die, never expire
tusichezee mapenzi ya moto fire

abbah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...