blessings - darassa lyrics
nakuwaga kimya miwani kimya ucap
kuongea na mjinga better i talk to myself
nishaogelea maji mafupi marefu
nish*gongea mlangoni kwako i need help
nyumba nayo kaa magari nayoendesha
nasaidia watu na watoto nasomesha
custom made suit nashonesha
nalipa bills zangu na naishi bila presha
na kama unataka kunichimba chimba
mara sijui anatinga anavimba
anaringa go ahead sema uwongo
shida mwanaume unakuwa na wivu na uchungu wa mimba
nashukuru bado kunakucha freshi
hakuna noma hakuna stress
nashukuru bado kunakucha freshi
just wanna thank god for blessing
huyo nilivyo once i say
nashukuru god baba anabless, anabless anabless
amenipa nafasi ye
nashukuru god baba anabless, anabless anabless
nimetoka pabaya
mpaka na kufika na maisha haya
nimetoka pabaya
tunabang bang hatunaga baya iyee
vitu nimepitia, vitu nimesikia
vitu nimeona
vile vitu nimepitia, vitu nimesikia
vitu nimeona
sometimes nakuwa bahati kupona
maisha ya kugombania mpira wa kona
rеmember back in the day ilikuwa noma
hata nguo ikichanika unashindwa kwеnda kushona
kuonekana sehemu nishai
kuwapa “hi” mademu ni dry
now my name is up in the sky
i know you hater hamwezi kufurahi
nashukuru bado kunakucha freshi
hakuna noma hakuna stress
nashukuru bado kunakucha freshi
just wanna thank god for blessing
huyo nilivyo once i say
nashukuru god baba anabless, anabless anabless
amenipa nafasi ye
nashukuru god baba anabless, anabless anabless
nimetoka pabaya
mpaka na kufika na maisha haya
nimetoka pabaya
tunabang bang hatunaga baya iyee
eyoo classic, they call me touch
nothing but the best
don’t fake, don’t hate
go count your blessings
Random Song Lyrics :
- dressed to impress - keith sweat lyrics
- plain jane (remix) - kvreem, hano unknwn lyrics
- cuando el destino - josé alfredo jiménez lyrics
- i get that a lot - ostrich lyrics
- dont be a gc - preston waters lyrics
- louder - michael w. smith lyrics
- ferrari - 017gang lyrics
- дождь (rain) - feduk lyrics
- she pops (demo) - pet shop boys lyrics
- we are one (ole ola) - claudia leitte lyrics