lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tafadhali - dalian lyrics

Loading...

verse 1

kipaji hiki ulinipa nikusifu baba
si eti kwamba mi’ ni mzuri zaidi ya wote ah! ah!
injili yako nikisare nichukue baba
nikisare nichukue baba

kalamu shika hizi nyimbo niandikie baba
sauti yangu itumie utakavyo baba
mi naomba aaah

pre-chorus
nataka wakisikia na nyimbo zangu
waseme huyo mungu wako ndiye na mimi nataka kw-ngu
wakisikia na hizi nyimbo zangu
waseme huyo huyo huyo mungu wako
ndiye na mimi na’taka kw-ngu

chorus
[tafadhali (tafadhali)
nipe uwepo (uwepo wako)
wakiniona wanakuona
eh baba eeh]-2

verse 2
wakiniskia wakuskie
wakiniona wakuone
nipe neema yako, nipe rehema zako

roho wako aniongoze
na nyimbo zangu n’siwapoteze
baba uimbaji w-ngu, uwe kama biblia kwao

pre-chorus
nataka wakisikia na nyimbo zangu
waseme huyo mungu wako ndiye na mimi nataka kw-ngu
wakisikia na hizi nyimbo zangu
waseme huyo huyo huyo mungu wako
ndiye na mimi na’taka kw-ngu

chorus
[tafadhali (tafadhali)
nipe uwepo (uwepo wako)
wakiniona wanakuona
eh baba eeh]-2

bridge
-melodies-

nipe nipe nipe nipe unipe uwepo wako, baba
nipe nipe nipe nipe unipe uwepo wako…

chorus
[tafadhali (tafadhali)
nipe uwepo (uwepo wako)
wakiniona wanakuona
eh baba eeh]-2

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...