lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

faraja yangu - dalian lyrics

Loading...

jacky b
mmmh

sura ya sura yangu
umenifanana sana
na kwa umbali naona
una kasura ka mama
eti leo naitwa daddy mh!
si asifiwe maulana
baby wewe ni zawadi
tena zaidi ya kufana

nilidhani nilijua mapenzi
hadi nilipokuona
umenifunza kupenda tofauti
nilidhani nilijua mapenzi
hadi nilipokuona
umenifunza kupenda tofauti

(ah ah aaah) we ndo furaha yangu we
baby! we ndo faraja yangu (oh yeah)
we ndo furaha yangu baby baby
baby! we ndo amani yangu
(amani yangu) mmmh wewe wewe wewe
faraja yangu (amani yangu) issa w*ngu mutoto w*ngu wewe wewe wewe

kwanza pole!
mi hutamani ningekuona everyday
ningekufunza utembee na uongee
baby!
na kuna matime
mi huwish ningetafuta mathe
tukunywe kachai angalau tuongee
lakini some things are not easy as they seem
na mi nahope usiwahi relate

nilidhani nilijua mapenzi
hadi nilipokuona
umenifunza kupenda tofauti
nilidhani nilijua mapenzi
hadi nilipokuona
umenifunza kupenda tofauti

(ah ah aaah) we ndo furaha yangu we
baby! we ndo faraja yangu (oh yeah)
we ndo furaha yangu baby baby
baby! we ndo amani yangu
(amani yangu) mmmh wewe wewe wewe
faraja yangu issa w*ngu mutoto w*ngu wewe wewe wewe

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...