lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zoba - d voice lyrics

Loading...

kama kosa la macho
hata mkiziba msimuone

ndani ya moyo w*ngu

namuona yeye kimasomaso

wenye wivu mukome

mtaambulia matandu

solo nala na yeye

na mkisema ananichuna

ntampa mpaka bot

kama penzi taaluma

basi ye ana degree

kwake siwezi meza azuma

kitu swafi og

midomo itawanuka kwa kununa
mngetafuna hata bigijii

aaaah ye ni w*ngu mimi

mimi ni wake yeye

wengine sasa wa nini

staki nichezewe

yeye ni w*ngu mimi

mimi ji wake yeye

wengine sa wa nini

staki nichezewe

mi kwake zoba

mimi kwake zoba

mimi kwake jinga

mimu kwake jinga
mi kwake zoba

mimu kwake zoba

mimi kwake jinga

mimu kwake jinga

mmh vyandani ni siri

kanikataza nsiseme

ila ningewaambia

raha anazonipa

kunako alfajiri

anaparama mn*z*

au geme

huku tunasinzia

mpaka tunafika
alafu darling nikupe siri

mi kwako chali

moyo na mwili

kama mie gari

we ndio tahiri

usije ukaenda mbali

utanihadhiri

amina amina

na iwe kheri amina

daima daima

nkuvishe shera na hina

amina amina

na iwe kheri amina

daima daima

nkuvishe shera na hina

yeye ni w*ngu mimi

mimi ji wake yeye

wengine sa wa nini

staki nichezewe

yeye ni w*ngu mimi

mimi ji wake yeye

wengine sa wa nini

staki nichezewe

mi kwake zoba

mimi kwake zoba

mimi kwake jinga

mimu kwake jinga

mi kwake zoba

mimu kwake zoba

mimi kwake jinga

mimu kwake jinga

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...