umenifunza - d voice lyrics
ooohh aaaah
ooohh aaaah
ayo laizer
uliompata anaupiga mwingi
sio siri umenawirii rangi mashalllah
kampe hongera zake
battle siwezi amenizidi vingi
mwenzangu tajiri mi kapuku mlala njaa
sijafika level zake
uuh mi hali yangu pangu pakavu
ridhiki yangu ndondondoo
nilichojaliwa malavu davu
ila kipato ndio mchongooo
mwenzangu kanizidi ubavu
mie kijitie nondo
ningewezaje kutoa madafu
wakati mi mpera si uongoo
lakini nimemiss nimemiss kukuona kw*ngu
yalaiti nami mungu angenipa fungu langu
labda usinge cheat kama muuni ningekuwa na vyangu
ila atabarikii nami mungu atajibu maombi yangu
ila umenifunza umasikini mbaya
umenifunza umasikini mbayaaa
umenifunza umasikini mbayaaa
umenifunza umasikini mbayaaa
na uyoo uliempata usmwache
maana anakupa nilivyokosa mimi
mungu abariki fungate muwe wa halali
awaepushe kuzini
walomwambia asikuchape oah
k*mbe na sikukuchapa mimi
na wewe jeuri uache mpe sifa mama
uchunge yako ndimi
siwezi sema nimemsusa nitakuwa muongo
kama ikitokea fursa mi bado nipo single
hamu mwezako kimejaa kichupa
pak*mwagia songombingoo
nisamehe kama mstari nauvuka
maji yamefika kwa shingoo
maana nimemiss nimemiss kukuona kw*ngu
yalaiti nami mungu angenipa fungu langu
labda usinge cheat kama muuni ningekuwa na vyangu
ila atabarikii nami mungu atajibu maombi yangu
ila umenifunza umasikini mbaya
umenifunza umasikini mbayaaa
umenifunza umasikini mbayaaa
umenifunza umasikini mbayaaa
Random Song Lyrics :
- nasty jack war dub - wiley lyrics
- sexto sentido (remix) - catalyna lyrics
- forlorn - two:22 lyrics
- for the birds - loc saint lyrics
- girlfriend - ikeno lyrics
- ständig förändring - jerusalem lyrics
- e tu? - bud spencer blues explosion lyrics
- 버클 (buckle) - nafla lyrics
- cuppa joe - thiago lyrics
- broadway bride - grant mclennan lyrics