lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harusi - d-ucool lyrics

Loading...

introduction
yeah its your boy d-ucool (hahaha)
mapenzi ni ya wawili (aah),ndoa,harusi (ok) lets go !!!(hip hop,ok,d-ucool)

verse 1
aah nak-mbuka hapo zamani mungu alivyotamani mwanamme kuishi peke yake hawezi,ila alishi na mwenzake
ndiposa tangu jadi hadi leo kuna harusi,ndoa maanake kupendana,kushibana,kuvumiliana hata kuonekana
mapenzi ni ya wawili baina ya jinsia mbili,jambo la kufurahisha mwili,akili hata pia na injili,hata pia na injili
wanadamu wanafurahia,malaika wanashangilia mungu bariki ndoa na usamehe wanawoikosoa (aah)
mapenzi yaani love wapenzi yaani lovers ni juk-mu lenu kupendana,kuaminiana kukitokea matatizo mnasuluhisha kukitokea makubaliano mnajumulisha
kwenye raha na dhiki mnaishi marafiki,kwenye kujenga ndoa nyote mnashiriki
harusi harusi mbinguni ilikubaliwa ulimwenguni pia ikapokelewa
mlima wa ndoa ni mlima mrefu sana kuna kupanda-kushuka (ii,ii,ii
kukosana-kukubaliana (aah,aah)
so,kijana wa leo (aah) uchague moja kuishi ndani ya ndoa au kuishi kando ya ndoa?(aah,okay,d-ucool,aah,yeah yeah,aah)

chorus
oh mapenzi ni ya wawili mungu tayari ashasema
ndiposa leo hii leo hii kuna harusi
mapenzi ni ya wa wiwili mungu tayari ashasema
ndiposa akamuumba adamu na hawa.(times 2)

verse 2
brother you see me rapping for the couples,disciples that’s why you see me flowing like a river,giver
i remember long time time to see the bride everybody was wishing to seduce her cause she was princ-p-led,beautiful,attracting n-body could win her,god was upon her that’s why he kept far to right groom,abide,astride,guide by the holy spirit
god bless the couples give them your wisdom so that their love should last for ever and ever
god is the giver,achiever thats why we celebrate the ceremony in harmony…
“like an apple tree among the trees of the forest is my dearest compared with the other men,”said bride.(songs of songs 2:3) brother
(aah,yeah,yeah,aah)

chorus

verse 3
verse three ni kali aisee ninawajali,kubali
thank you my brother kwa kufunga harusi basi mke ni wa mume na mume ni mke
kweli anakufaa,yaani kifaa,paa juu ya anga,uzazi unapanga,ndoa ikiwa changa
linda ndoa yako kama kifaranga kinavyolindwa lindwa lindwa dhidi ya mwewe,kufanya munielewe,lazima mlewe kwa mistari nazotema
hema,chema chajiuza,ndoa niyakutunza
ndiposa binti mkamilifu anaenda na kijana mtiifu
mungu w-ngu niwezeshe rhymes nazotema kwa ulimi zao nitelezeshe,nimezeshe,nielimishe,(okay,d-ucool)
mapenzi yanaumiza kila mtu anajiuliza ndiposa niko hapa…

chorus

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...