lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

quarantine time - coolbrizzy ft elsie lyrics

Loading...

intro
yeaaaah (la di da di da da)
hii ni ile time unaeza pata umecall ex wako yaani (humming)
coolbrizzy si ulisema uliachana na ngoma
chorea chorea

chorus
quarantine time ni mi na wewe tu
quarantine time ni mi na wewe boo
quarantine time ni mi na wewe tu
quarantine time ni mi na wewe boo

verse one
especially niko around hizi muda
nangoja instalive ya vera na hudda
kiasi nimestumble upon ya xtian dela
some twerking fine chic with a phat a$$
mi ni nani? nishaslide… smooth
kam kam kam njoo tubarizi
ukitaka niite mike ukitaka niite brizi
wasikuambie mi ni mshy yet they don’t know me
kuja quarantine let’s get to know me
baby shika mic perform na mimi
naskia you got the moves za kufanya shetto ablush
twende mos mos baby hakuna kurush
after hii corona si tutaenda church
ha, coz baby that voice can really praise the lord
chorus
quarantine time ni mi na wewe tu
quarantine time ni mi na wewe boo *2

verse 2
cheki, girl you so beautiful macho zako s*xy
they look through my soul baby mi siteti
your lips tasty, the smile on them heavenly
lemme take a pause, baby pose!!
lemme take a pause, baby pose!!
cl!ck, snap, crop, post ……… crop, post
hmm am looking at perfection, actually nope
an emblem of perfection
khai baby, i can look at you all day
you got me speechless
….alll daaaay

chorus
quarantine time ni mi na wewe tu
quarantine time ni mi na wewe boo *2

verse three
i miss how life used to be
yeah nimemiss vitu mingi especially clabuu
n not only that
nilikua natoka mtaa, napatana na elsie
nampa bonge la hug, twende tuone jeshi
wassup ashley, umepigia nelly?
goon na mannu wako hapo tamika
aki beb leo si utanibuyia smocha
aah hiyo ni lazima, kama kawaida kama ratiba iko kwa katiba
what’s going down? what’s going down?
what’s going down ni nimemiss kuongeleshwa kizungu na walevi na kupromissiwa kazi.. yaani
chorus
quarantine time ni mi na wewe tu
quarantine time ni mi na wewe boo *2

outro
quarantine mi nawewe tuuu youuu
coolbrizzy na elsie
let’s quarantine, quarantine, quarantine
it’s a wrap, tumekafunga
yeaaaaaah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...