lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

twakutukuza - congress musicfactory lyrics

Loading...

twakutukuza

[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee

[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee

[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku

[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –

tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa

[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee

mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee

[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…

[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza

tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku

[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza

tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa

tunakupa sifa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...