lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kwako we - congress musicfactory lyrics

Loading...

kwako we

[ubeti]
twainua macho (wanaume)
mikono twainua (wanawake)
sauti zetu kwa sifa (wote)

upendo wetu (wanaume)
kwako we (wanawake)
nguvu zetu (wanaume)
kwako we (wanawake)
maisha yetu kwa ibada (wote)

[pambio]
kwako we (wanawake) (kwako we (wanaume)
kwako we (wanawake) (we pekee (wanaume)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[pambio]
kwako we (wanaume) (kwako we (wanawake)
kwako we (wanaume) (we pekee (wanawake)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[ubeti]
twainua macho (wanawake)
kwako we (wanaume)
mikono twainua (wanawake)
kwako we (wanaume)
sauti zetu kwa sifa (wote pamoja)

upendo wetu (wanaume)
kwako we (wanawake)
nguvu zetu (wanaume)
kwako we (wanawake)
maisha yetu kwa ibada) )wote)

[pambio]
kwako we (wanawake) (kwako we)
kwako we (wanawake) (we pekee)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[pambio]
kwako we (wanaume) (kwako we)
kwako we (wanaume) (we pekee)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[maombi]
nakubariki. nakubariki. nainua mikono yangu kuelekea enzini pako na kuelekea uwepo wako. nainua moyo w-ngu kuelekea jina lako takatifu. katikati ya maisha yangu mambo matakatifu yanainuka na kupanda kwa mungu. katikati ya maisha yangu kuna dhabihu takatifu zinatiririka kukuelekea wewe. nainua sadaka zangu za sifa, tunda la midomo yangu nikilishukuru jina lako. nakuja mbele zako na ninaleta dhabihu kwako wewe

[pambio]
kwako we (pamoja wanawake) kwako we (wanaume)
kwako we (wanawake) (we pekee (wanaume)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[pambio]
kwako we (wanaume) kwako we (wanawake)
kwako we (wanaume) (we pekee (wanawake)
ibada yetu (pamoja)
sifa zote
kwako we

[k-malizia]
ibada yetu
sifa zote
kwako we

ibada yetu
sifa zote
kwako we

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...