furaha - congress musicfactory lyrics
Loading...
furaha
[ubeti 1]
furaha, yako mw-ngaza kw-ngu
furaha, yako yakamilisha
furaha, yaf-kuza giza
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 2]
furaha, yarahisisha mzigo
furaha, nguvu yangu vitani
furaha, nguvu ya utiifu
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 3]
furaha, huniuwisha nafsi
furaha, penda ulimwengu wetu
furaha, kuelekea kwako
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
furaha…..
Random Song Lyrics :
- o the blood (feat. rebecca hart) - gateway choir feat. rebecca hart lyrics
- o meu melhor - restart lyrics
- treacle - charlotte thorstvedt lyrics
- wax mannequeen - elo lyrics
- the fix - nelly lyrics
- hanging on the telephone - l7 lyrics
- libre y salvaje - mafalda, oskar bitxo malo & dremen lyrics
- jorden är platt - ceasar & tollén lyrics
- empire of pink - anne curtis lyrics
- hold me tight - jun. k (from 2pm) lyrics