people & technology - combine a/s lyrics
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi ni kununie baba
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
sukari ikipanda na unga hizo vitu ndogo
umekonda na yule ameunga hizo vitu ndogo
unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo
heeeh vipi dee unajua bila yesu ni trickide
aaaae
mimi bahati de nakwambia shida zako ni ndogo de
aaae
anakucheki de everyday ukicomplain juu ya holiday
aaae
hizo vitu ndogo de mbele yake ndogo ndogo kama odede
aae
na unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo
aaah
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi ni kununie baba
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
aaah
mi ni winner
ata kama pesa sina
lamborghini na bima najua zote atanipa
nipa
madeni alilipa
huyu yesu wa uzima
am no longer a sinner
unalia juu ya dinner
eei eei eei eei eeei eei
heeeh vipi dee unajua bila yesu ni trickide
mmmh
mimi wonder de nakwambia shida zako ni ndogo de
aaah
anakucheki de everyday ukicomplain juu ya holiday
aah
hizo vitu ndogo de mbele yake ndogo ndogo kama odede
aaah
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi ni kununie baba
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo
aaah
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo
aaae aae aae
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie baba
hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi ni kununie baba
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
hizi vitu ndogo ndogo
ndogo
Random Song Lyrics :
- leave me alone - балдьож (baldiozh) lyrics
- apparently nothing - beverley knight lyrics
- hardkor - cool kids of death lyrics
- the anthem - snails lyrics
- to wszystko - mateusz "matthew" rosinski lyrics
- had a plan - c-note lyrics
- amor castúo - extremoduro lyrics
- forever young - rhiannon giddens & iron & wine lyrics
- beautiful - francesca battistelli lyrics
- forever - saskilla lyrics