yesu anaweza - collins pinky lyrics
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w*ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw*ngu moyoni bwana
bubujika daima
Random Song Lyrics :
- nlt - les ogres de barback lyrics
- ma destinée - untel lyrics
- the dreams - doberman kd lyrics
- why they hatin' on me - waka flocka flame lyrics
- that's my girl (gh4 version) (cover) - gacha harmony (gh4) lyrics
- uh, skrrt. - g.zen la feva lyrics
- dale! - la pegatina lyrics
- buy myself a chance - randy rogers & wade bowen lyrics
- right from the beginning - mario william vitale lyrics
- tik tak - dobbel m lyrics