forgotten heroes - cobrah and naphon b lyrics
intro…….(naphon b)
yeah……
naphon b……
co.b.r.ah……
forgotten heroes…. (they never die)
verse 1(naphon b)
verse one ninastart kwa machozi
kwa nini sa tuforget zile jonzi
katoa blood infact tuwe huru
tunaforget jc first hero
number two ninalean kwa mafreedom
tuko huru na bloodshed ya watu
kucelebrate nation na founders
sitawa mention hao ni hayati
tuna bahati tunaspit na maswag
bila kujua starters’ wahii game
mikono juu kwa 2pac na nas
hao halali talanta kapewa
kwahii game ni heroes si haba
ila verses ni short si extra
kuwak-mbusha esir na poxy
hii game walimagnify kwa level
twasalute marley na culture
ganja burners kucelebrate mahustlers
natuma text kwa w-ngare maathai
samahani amekwisha tuacha
envi alimaintain kwa hali
pia mali from kenya to nations
tunaexpose heroes’ si zeroes
chorus
when i say goodbye to the earth i live
when i kiss this soil to till the morning light
will they call me am a hero…
will they call am a zero….. -2
verse 2(co.b.r.a.h)
nitaifanyia nini hii chemical formular ?
na nilihitaji tu m.i.c nijipatie chakula
proffessor atakataa hio niko c-ck sure
uhuru imefika hata uifungulie mapua
heroes wasahauliwe,hio bado ni desturi
statues zao zinatuk-mbusha ujeuri
bado wanajiuliza,tulif-kuza mabepari?
waliotupigania wakaenda,forgotten heroes
tunalalia uhuru,sasa bila pillow
ukweli tunaomboleza,tunakaa ka widow
ufisadi walidai sasa itakuwa ni histori
ni habari mpya,yes tumerudishwa misri
though you may be gone,bado tunawa treasure
mjue tunawapenda,nyi ndio mlituwezesha
msiwahi kutusahau finally mkiendelea kurest
the family,mind on mic bado ndio address
chorus
when i say goodbye to the earth i live
when i kiss this soil to till the morning light
will they call me am a hero…
will they call am a zero….. -2
verse 3
(naphon b)
true heroes, they never die
why lie, they live forever, remain forever
why fear, we enjoy their fruit
celebrate their sweat
this a start we give them credit
imagine south africa without mandela
imagine kenya, without kenyatta
tanzania without nyererere
even ghana, without nkurumah
forgotten heroes tunawamention
(co.b.r.a.h)
hatufungiwi ndani,tutakata rufaa
msisumbuliwe,kwenyu italeta manufaa
ndoto za mtaa,sisi ndio tunatimiza
vigogo wenyu,hao wote tuliwamaliza
proud to be kenyan, manze still hold on
for vision 2030, please mama be strong
lazima tuifikie, sasa tumechange tone
vijanaa muwaambie,hamtarusha tena stone
education system imewageuza into robots
tunang’oa 8.4.4 imejaza msoto
wale wamekataa ndio wanabenefit
Random Song Lyrics :
- (freestyle friday #25) loosen up - e-dubble lyrics
- tentando melhorar - drive lyrics
- as dez virgens - lauriete lyrics
- não desista de me amar - banda tecno show lyrics
- sua canção - outono 09 lyrics
- ele vai te ajudar - quarteto gileade lyrics
- we're all gonna die (have fun) - the candle thieves lyrics
- território de deus - francisca beatriz lyrics
- lo que queda de mi - luis miguel lyrics
- milagre de amor - cristina mel lyrics