ulanzi - cloudy 9 lyrics
[intro: cloudy 9]
waaaoooh!
mkwawa on a beat
cloudy 9 hah..
[verse 1: cloudy 9]
ah, nkiwa home iringa town ni ulanzi
sina habari na mademu wa kishenzi
i got the dough na mitikasi ipo mingi
nakunywa ulanzi tangu shule ya msingi
usicheze nami homie, i got the money homie
n-z-tumia kwenye clubs za ulanzi homie
cheza mbali ni hatari utaumia
cuz nikishalewa pombe mwanzo mwisho najiachia
waaaoooh!
[bridge: cloudy 9]
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[hook: cloudy 9]
nikiwa club v.i.p ni ulanzi
nikiwa club larpate ni ulanzi
nikiwa home iringa town ni ulanzi
ulanzi, ulanzi
nikiwa home iringa town ni ulanzi
nikiwa club v.i.p ni ulanzi
nikiwa club larpate ni ulanzi
ulanzi, ulanzi
[verse 2: cloudy 9]
ulanzi my thing, ulanzi my queen
ulanzi make me happy every time when i’m down
i don’t need stress cuz i use my cash
you can see club with my bamboo juice
a.k.a ulanzi or moon-shine whiskey
we dance together but please don’t fight
come together lets party all night, party
party party, lets party all night night, n-gga!
[bridge: cloudy 9]
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[hook: cloudy 9]
nikiwa club v.i.p ni ulanzi
nikiwa club larpate ni ulanzi
nikiwa home iringa town ni ulanzi
ulanzi, ulanzi
nikiwa home iringa town ni ulanzi
nikiwa club v.i.p ni ulanzi
nikiwa club larpate ni ulanzi
ulanzi, ulanzi, waaaoh!
[verse 3: mkwawa]
ah, nipo club na ghetto ni ulanzi
product saaaafi ya mianzi
weka mbeta juu kwetu ndi mug-ya sida
na lita ni mia 500 kulipa hakuna shida
mw-ngata kihesa, ipogolo isoka, lets go lets go
ndi mug-ya sida ni muda wa kupyatila
mw-ngata kihesa, ipogolo isoka, lets go lets go
drink better, yeah, guess what,?
iringa town stand up, ahah
iringa town stand up, mkwawa, cloudy 9
iringa town stand up, waaaaah!
mkwawa, cloudy 9
ndi mug-ya sida
[bridge: cloudy 9]
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
twende sawa kama unapenda ulanzi
weka mbeta juu kisha mwaga ulanzi
[hook: cloudy 9]
nikiwa club v.i.p ni ulanzi
nikiwa club larpate ni ulanzi
nikiwa home iringa town ni ulanzi
ulanzi, ulanzi,..
[auto: cloudy 9]
mkwawa entertainment, cloudy 9
this is how we do mayne, waooh!
iringa town, so cold!
Random Song Lyrics :
- found my lane - mr2thep lyrics
- i cover the waterfront - louis armstrong & his orchestra lyrics
- while the song remains the same - noel gallagher's high flying birds lyrics
- i still believe in santa claus (north pole mix) - leann rimes lyrics
- dis-moi encore - eté 67 lyrics
- legend... - ayomiro. lyrics
- reap the whirlwind - angelcorpse lyrics
- ei hey - xis lyrics
- outro (achter tag) - genetikk lyrics
- infotainment - wailing trees lyrics