lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

round hii - cliff panya lyrics

Loading...

tripple b

chorous
[cliff panya]
round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

[cliff panya]
aaah casy is banging this muhf-ckin place
ain’t no muhf-cka gon’ take his sp-ce round hii

look! yah
verse 1
[cliff panya]

wanasema nnachofanya ni ukafiri
wengine wanasema ni albadiri
mabaya wan-z-di kunitabiri
sijui lini wataacha kunijadili
siwajali niko busy ka’ babilon
kichwa changu kinawaza mabilion
nabadilika ka kinyonga chamillion
siyo m’mwanza miye mtanga the bw-nga don
casy let’s go
let’s put it on
hizi flow kuzi’blow
haina budi bro
casy let’s go
let’s put it on
i’m gone so far,y’all already know

banger!!!

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

[casy ze banger]
niko antisocial siko social round hii
i’m too local don’t play with me
n-gga!
ye ye
ye ye
ye ye yeeeye

verse 2
[cliff panya]
music in my blood
they say i’m going bad
nafanya nnachotaka na sifanyi ilimradi
haters red card kistadi
lotta thanks ooh my god
wanafanya nagundua kwamba we ndo mpaji
round hii nabukua bila skuli ya vipaji
i don’t even care what’s these n-gga f-cking judge me
who do you f-ckin blame n-gga
umetaka dem nigaa
huna hata frame round hii
got d-mn it!!

[casy ze banger] hook
unataka burning
me nataka money
hatuwez kuwa the same
nmezaliwa niwe king n-gga

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

[casy ze banger] hook
niko antisocial siko social round hii
i’m too local don’t play with me
n-gga!!
ye ye
ye ye
ye yeeee

verse 3
[cliff panya]
niko antisocial siko social round hii
walk like i talk it sijabroke i make mills
n-ggaz wana talk sh-t, me na talk real
na hata wakichop chicks ,me na chop deal
zungusha baridi kuna joto round hii
we zuka na zigi zaga zote hapa ni free
njoo na money siyo na gigi
hapa hakuna ladies free
no pizza no baga,tell yo mama go to sleep
round hii nakanyaga promoter anaye beep
sina ram pa pa pam wala sina beef
tell me man what a gwan mbona tena visu
n-gga know you better than n-gga nimetimba

round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii
round hii
nimepwaya pwaya tena sana
round hii
people used to call me motherf-cka
round hii
nmeachana na ukemia nmekamata mic
yes round hii
yes round hii

ha ha ha ha
shot out to my n-gga casy ze banger
shot out my n-gga k nas
chadomam wapi round hii

aaah it’s yo boy b.e.b
bw-nga jatown in the building

mchichaaaaaa
ha ha ha ha

heti mkemia anachana

haaaaaaaaa aaah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...