mapito - christina shusho lyrics
Loading...
ni mapito
mapito ya dunia hii
ni mapito unapitishwa tu
unayoyaona
ujue ni mapito ndugu
mapito yako
kipimo cha imani
futa machozi
ujue ni mapito ndugu
unayelia k-mbuka hayo ni mapito tu
mapito yako
kipimo cha imani yako, ooh
jipe moyo mngu yuko nawe
mungu wetu si kiziwi hata asisikie
anajua unayoyapitia aa
jipe moyo yeye yu pamoja nawe
ushindi wako umekaribia
ni mapito
ni mapito
mapito ya dunia hii
ni mapito
unapitishwa tu
unayoyaona
ujue ni mapito tu
mapito yako
ni kipimo cha imani
Random Song Lyrics :
- kraft - der plot lyrics
- losses - a1 nino lyrics
- let me down - defeater lyrics
- petit boze - biga ranx lyrics
- ttyn - vivienxo lyrics
- misunderstood - cameron j lyrics
- christmas in l.a. - vulfpeck lyrics
- impressive's warning. - psychedelic lyrics
- nessyouclopedie - nessyou lyrics
- pinky & brain - slowy lyrics