niende wapi - christian bella feat. joh makini lyrics
mpango ulikua ni kupaa mi nawe mtoto kila anga
eh a-city in the house
kujipanga hata kama mpenzi siku moja utakua janga
makini bela
umeniwashia kibiriti mafuta kunimwagia
moyo hautmani mapenzi natoka machozi
kwa mawazo mi nakonda kweli
wapi nikuone ili nipone donda la moyo kutwa kucha naumia
ameondo(ka) ghafla tu
sikuoni tena mama
ona jua limezama
umepotea kama (kivuli) kivuli
roho yangu juu lini ntakuona tena
hujaacha hata ujumbe
kuna tatizo gani sielewi
niende wapi (ah oh mamaa)
ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye yee)
niende wapi (nimemtafuta mpaka kwa shoga zake ye yee)
ntampata wapi (kaskazini ama ye yeeh)
eh ma ma ma mbona umeniacha mi kwenye kiza
na na na mbona ulishanipa visa
ah ah ah sitaki kuamini uliigiza
no no no mi na we hatuk-maliza
mkataba ulikua ni kifo
si ni uliapa ulinipenda kuliko
na vile ulinipa ni ka ulitaka ujiko
si ndo nikajua mi nishapata jiko
mtoto mkali mtaani maujiko
sukari si sukari tena
tamu si ni tamu tena
ndoto si ni ndoto tena
ndoa si ni ndoa tena
sio ni juu ni chini tena
mamilo ni nini tena
serikali yetu wapi siri kali tena
zike nyota njema mbona zimepotea mapema
pete yangu hu tayari wapi kile chanda chema
si matani si kufuru wapi yule mke mwema
nak-mbuja ulisema nami
hauwezi kuishi mbali nami
kapatwa na kitu gani
ah mamaa
alisema nami
hawezi kuishi mbali nami
ananipenda sana
niende wapi (aah oh mamaa)
ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye yee)
niende wapi (nimemtafuta mpak kwa mashoga zake ye ye yee)
ntampata wapi (ah kaskazini ama ye ye ye)
ah mama ye ye ye ye
nawaza kila siku sipati jibu
kama kuna kasoro ungenambia
naona kama ndoto
niliyompenda kaniacha mi solemba
ameondo(ka) ghafla tu
sikuoni tena mamaa
ona jua limezama
umepotea kama kivuli
roho yangu juu lini ntakuona tena
hujaacha hata ujumbe
kuna tatizo gani sielewi
niende wapi (ah oh mamaa)
ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye ye ye)
niende wapi (nimemtafuta mpaka kwa mashoka zake ye ye ye)
ntampata wapi (kaskazini ama ye ye ye)
Random Song Lyrics :
- cross my heart - melody's echo chamber lyrics
- zabłąkany - bodziek lyrics
- for you (guia/ensaio) - klyn lyrics
- eastside - lucy camp lyrics
- hard ball - masicka lyrics
- gotta getcha - edited version - jermaine dupri lyrics
- up till now - hardy caprio lyrics
- run it up - anthxny escobar lyrics
- be professional - the acbs lyrics
- somebody to love - rmg lyrics