lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zimenice - chris kaigah lyrics

Loading...

sikosi uradi
nipate nimechill na kabinti
form ni mingi hadi anashangaa na sisi
kila siku ya wiki, get tipsy
na nikiget doh, va blow out all on the whiskey
jack d, jamey, now blame it on henny
we started out slow, nilikuaje mlevi?
ish too crazy, kuk-mbuka siwezi
nilijiget tu home juu ya bed nimebleki

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

zimenice, zangu zimenice (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)

nipe beat, nipe mic roho itesi kalamu
huu muziki ndio kazi naufanya kwa hamu
juu nateka mahali kama boko haramu
na ikijipa basi nitawandalia karamu
bash mara that-that
tunakuja chap-chap
tunakuja na gode
tei mpaka tap-tap
ati? shawty wants to take a snap
ashatoa top, ashanikalia lap (sikiza hii)

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

zimenice, zangu zimenice (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)

me, nimechill inadi bar
juu watu huko mbele wako maji kama tap
na kesho niko waks
but venye zimenice, itabidi nimeflash mdosi
aki-call back aki ya nani siokoti
niko kando ya woofer na kelele ya mbogi
kama ni ngori basi kesi baadae
woah, niko cloud 9, eh wasee niko high

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

si masoo ni mangiree (zimenice)
dem mmoja wawile (zimenice)
na ma tusker ma pile (zimenice)
mara ya kwanza ya pile (zimenice)

zimenice, zangu zimenice (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)
zimenice, zimenice zangu (zimenice)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...