lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ongeza debe - chris kaiga lyrics

Loading...

[chorus: dai]
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza

[verse 1: chris kaiga]
hii flow ni kali naitema ka taxin
nikibonda streets na ma*punchline ka ali
naroga, hadi namaliza biz ya mchawi
nikingoja kuona witchdoctor marsabit
kuna masaa beat huni*show samahani
nikianza kuimada kama dish kwa sahani
naka kuisanif kuwaachia mali safi
raiya watasample hii kejani na kwa mbali
[chorus: dai]
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza

[verse 2: scar mkadinali]
scar niko, mi sibadiliki
na niko ivo na sijachapa bangi wiki
mi niko macho, mi sibabaiki
na mi napenda hussle bado mi sijabury nipsey
ai broski r.i.p, hata ka ni risky bado boss ana*insist
saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street
shida yangu kubwa ni mimi but can i see
o*o*o*ongeza debe, mi ntakam solo wе unaeza ongeza rendе
kama sio mchoro ya mkwanja eleza uende
na sistako ananimezea we meza wembe
na na*live life it’s like imeshajipa
ni yule mr riz mangwai ka hujanyita
design zimeninice nikiskiza zimenishika
nimemiss east by now ni miezi sita

[chorus: dai]
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza
[verse 3: chris kaiga]
sawa
ongeza decibel, chunisha jbl
hadi neighbor alete nacada waipunguze
songesha mwili ni kama uko under influence
ya ki*red makali na ki lucozade
main man mi si sabat niko baze
mambleina husaka sub wakureplace
naleta action kama cmb president
na maveteran wanajua mimi ndio niko next
chief connect ukidai mali safi
nabring peace kwa bag ni kama in the ’90s
mi na scar ni mapro kwa hii kazi
so rewind the track na uongeze kiasi

[chorus: dai]
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe
ongeza debe wakipunguza
ongeza debe wakipunguza

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...