lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyonga nyonga - chin bees lyrics

Loading...

nyonga nyonga my love
mpaka kukuche ya jana na minyooo
nyonga nyonga my love
mpka kukuche ya jana na minyiooo

unavyoplay siyo utan
mtoto ukofine
kiuno chako lain kama hakina mfupa ndan
unavyopanda na kushuka m unanpa maruan
unanchanganya changanya you utazania kitu gan
mamilow ukoactive
mtoto mwenye hadhi
mtetea w-ngu kifaranga nipe malazi
unapojikisa chukucha
najifeel alright
my light we ndy wakunikata kitu nice
baby uko so amazing
fanya yako me ni freeze
baby uko so amazing so amaziiiiing

nyonga nyonga my love
mpaka kukuche ya jana na minyoo
nyonga nyonga my love
mpka kukuche ya jana na minyoooo

(uko on fireeee
unavyoback right baby you take me higher
na kwa maringo mwayaa
unavyoringa ringa baby
hakianani ni raha)

baby uko so amazing
fanya yako me ni freeze
baby uko so amazing so amaziiiiing

nyonga nyonga my love
mpaka kukuche ya jana minyooo
nyonga nyonga my love
mpka kukuche ya jana na minyooo

nyonga nyonga (eeeeeh)
baby nyonga nyonga (eeeeeh)
nyonga nyonga (eeeeeh)
baby nyonga nyonga (eeeeeh)
nyonga nyonga (eeeeeh)
baby nyonga nyonga (eeeeeh)
nyonga nyonga (eeeeh)
nyonga nyonga (eeeeee)

nyonga nyonga my love
mpaka kukuche ya jana na minyoo
nyonga nyonga my love
mpka kukuche ya jana na minyoo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...