chaguo langu - chidi beenz lyrics
fish crab presentation
yooh
mabibi na mabwana
wavulana na wasichana
hii ni zawadi kwenu
mi naitwa rashid
ama unaweza kutumia chid benz
ni msanii wa kizazi kipya
nimefanya nyimbo hii hapa
ametengenza lamar
i
halo mamy honey
nuru yangu ninapokuwa gizani
afya njema bila magojwa
sitoki kwako siendi kwao siendi kwao
hata kwa kuongwa
wewe ni bonge la demu dada mrembo
peace kila sehemu cause huna skendo
najituma na inabidi nijitume
yote sababu yako njaa ikibana usinune
malikia wewe wapili toka mama
mama aliyenizaa ndo unafata we kimwana
simtupi baba wala sisahau ndugu
ila ni ukweli tu wa moyo mdomo hauwezi kuwa bubu
nakupenda penda penda sioni aibu kurudia nakupenda penda
kila shetani -n-lo shetani lake
basi kila mchagua -n-lo chaguo lake
we ndo chaguo langu(we ndo kila kitu kw-ngu mama)
ndiyo uhai w-ngu(we ndo kila kitu kw-ngu mama)×2
ii
jina lako kama pumzi yaani lazima iwepo
ili niisho kwa raha yaaani lazima uwepo
mami mami mami mami
wa kike ndo wakiume tunawahitaji maishani
mnatupa mw-ngaza nguvu akili
mnaweza kuliwaza mabaya tusifikiri
nyie ni kila kitu hapa duniani
uwe mdigo mpare mhehe au mmbani
yaani mapenzi kokote
kwa mtu yoyote
mradi ufanye salama usianguke tu popote
sometimea nawaza bila nyii ingekuwaje
midume tu peke yetu hivi maisha yangekuwaje
nakupenda mama achana na story za mtaa.
sitopenda honey ije siku unikatae
sitokwenda mamii nipo na wewe mileee
mpaka siku ya vigelegele
repeat
iii
unamguu unajicho
cheki kichuguu kiuno kweli ndicho
dah dimpoz sidati mimi tu tupo many people
mola alipenda akapenda akapendelea
jinsi ulivyoumbwa pekee tena hatotokea
na ndo maana
nipo imara
sikuachi wakithubutu tu msalaaa
malkia wa mimi na wadunia
hata umiss hutaki ilaunataji lisiloshindaniwa
hivi we nani we mkaliii
kama wawili we binti wee
wee mkalii
usiku silali nabaki kukutazama
kweli ninazari kwanza hupendi karama
mamito kunachochote bado nooo
kwa leo inatoshaa
(obrigadoooo)
repeat end
Random Song Lyrics :
- hello - interlude - newton faulkner lyrics
- angel - rico (us) lyrics
- innocente - single edit - delerium lyrics
- no salesman - jordan klassen lyrics
- shake it off - scott bradlee's postmodern jukebox lyrics
- caress me down - voodoo glow skulls lyrics
- ikkje spør - ni liv lyrics
- joie, plaisance, et douce norriture - guillaume de machaut lyrics
- two of a time - marcus alexander lyrics
- castles catsles - nyanners lyrics