share - chicha musiq lyrics
intro:
wanapenda kuniita chicha musiq
majay ponda beat, proverbs 19:17
crrrrrrrrr cha
verse1:
nimeamka asubuhi sioni ubaya
baraka tele kushinda kikosi cha choir
jirani naye *n*lia hali mbaya
siwezi tupa nilichobakisha jana ni tabia mbaya
so lazima nim sort, nina ka hamsini nimeficha kwenye koti
si nirudi ndani ndio kazini ni report
nikikuja nyumbani sitaki mbwembwe kwa hii ploti
bridge:
lalalala niliwacha ufala lalala
ndoto mbaya niki lalalala
nasimama nawe mama mamama
”
{ kama ni ka ugali nilazima tuta share
kama ni ka nyama pia lazima tuta share
ukiwa na matanga pia lazima tuta ishia
ukitoa ka wimbo pia lazima tuta share } x2″
ukimsaidia maskini jua umemkopesha mungu
mnanielewa lakini? moyoni toeni machungu
chorus:
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
ulicho nacho
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
hata za macho
verse 2:
wooooo… vipi mashaa vipi ricky?
natokea mashariki
mimi ni mwimbaji wa gospel mtakuwa mashabiki?
kuna kidogo hapa tunaweza share
ujumbe wa mungu baba ndio mini nawaletea
kuna shida imetokea , wasanii kuji compare
kuvaa kama diamond na kuflow kama kiba
nita shine zaidi ya diamond imani yangu ndio akiba
shikeni namba tutaongea zaidi
tuwaombee f*kara tuwaombee gaidi
nafika hustle jijini niwakilishe tukirudi nyumbani kitunguu mi ninukishe …
tuliza nafsi punguza ubinafsi
tukiomba usaidizi naomba simama nasi
kesho ukituhitaji hatutakukana nasi
ukimsaidia maskini jua umemkopesha mungu
mnanielewa lakini? moyoni toeni machungu
chorus:
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
ulicho nacho
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
hata za macho
verse 3:
mmmh onananana mama
uuu chaaa
hii beat tunai murder na mistari ziko bie
yesu hunichezea na rada nikimpeleka na rieng
aaa uu nikimpeleka na rieng
tunafanya charity na tunabaki shhh!
tuna saidia majirani na tunabaki shhh!
tunatoa tith na tunabaki shhh!
tunawalipia ma bills na tunabaki shhh!
kwa wanao teseka nikwa muda tu
usishindwe kutembea hata uvunjike mguu
mungu ukimtegemea atakupa tu
binadamu ukimkosea atakuangusha tu
ukimsaidia maskini jua umemkopesha mungu
mnanielewa lakini? moyoni toeni machungu
chorus:
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
ulicho nacho
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
hata za macho
ukimsaidia maskini jua umemkopesha mungu
mnanielewa lakini? moyoni toeni machungu
chorus:
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
ulicho nacho
share share share share share
mmmmmmh
share share share share share
hata za macho
outro:
yooo, alright.. tupendanenii tunaipenda hii
okkk touch many souls kushinda fundi wa viatu
mungu atakubariki mpaka haters wafyatu
Random Song Lyrics :
- sem medo da escuridão - charlie brown jr. lyrics
- fecha comigo (part. katinguelê) - sampa crew lyrics
- unidas para sempre - vanilda bordieri lyrics
- o sorriso volta - márcia bandeira lyrics
- ex 157 - mc filhão lyrics
- be my man - asa (asha) lyrics
- zé valente - rayssa e ravel lyrics
- hino do araripina futebol clube (pe) - hinos de futebol lyrics
- rolava bethânia - serguei lyrics
- deus vai te ajudar - izolda pontes lyrics