lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

club au kanisa - chicha musiq lyrics

Loading...

intro:

woooo, wanapenda kuniita chicha musiq , triga

chorus:

club au kanisa ,club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa? ( chicha)

club au kanisa, club au kanisa
wapi kunanibamba bro , si club ndio kabisa (triga)

club au kanisa club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa?( triga)

club au kanisa club au kanisa
hakuna kubishana bro church ndio kabisa(chicha)

verse 1

starehe zinakuchanganya
kila siku jicho nyanya
mara pombe na sigara
hivi bro nini unafanya? (chicha)
jicho nyanya? hey bro mi niko steam
na siwezi nika i dim
church haiwezi ni redeem
kuna nini cha maana? (triga)

nakusihi bro
please come kwa misa (chicha)

dhambi nyingi ziko wapi bro
club au kanisa?
maisha ya kanisa yalisha nipiga chenga skiza nikwambie chicha ulimwengu ulishaa niteka (triga)

haha umetekwa bwana
ya ulimwengu niya kuisha tu
kuvalia vest ili sisi tuone tattoo
unatesa usiku na mchana
weh karibu kanisani, una pendwa bwana
usipuuze utamu wa wali hauwezi upata kwa marage
kila mzinga una asali ila sio mzinga wa konyagi (chicha)

chorus:

club au kanisa ,club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa? ( chicha)
club au kanisa, club au kanisa
wapi kunanibamba bro , si club ndio kabisa (triga)

club au kanisa club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa?( triga)

club au kanisa club au kanisa
hakuna kubishana bro church ndio kabisa(chicha)

verse 2

mbona niwache starehe ya gambe(pombe) na madem
alafu nije kanisani nyinyi wote muni huk*mu? (triga)

atakaye ku huk*mu ata huk*miwa pia
atakaye kubariki kaka ata barikiwa pia
(chicha)

napenda starehe, haunikosi kwa sherehe, nikishika mic madem wana jipa bure (triga)

sasa wacha ni hubiri (chicha)
subiri, hivi una muelewa huddah(triga)

nina mke madem kw*ngu sio deal
hivi unanielewa buda? (chicha)
wa kw*ngu nilimchuja kwa kunikatiza raha , kuniambia niwache pombe
moyo akauweka jeraha (triga)

sio vizuri,huo ni ukatili (chicha)
mbona, mshirika ako na mimba na anasema eti niya pastor? (triga)

hizo ni scandals za kihuni kanyangia kama duster
epuka mauti, kuna mbili sauti , utakaya ifwata you will give an account (chicha)

chorus:

club au kanisa ,club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa? ( chicha)

club au kanisa, club au kanisa
wapi kunanibamba bro , si club ndio kabisa (triga)

club au kanisa club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa?( triga)

club au kanisa club au kanisa
hakuna kubishana bro church ndio kabisa(chicha)

verse 3

mungu baba nakusihi nisamehe dhambi zangu (triga)
ina maana unaokoka kaka uwache ya ulimwengu? (chicha)
ndio kaka blaza mimi namfwata mungu w*ngu(triga)

heeeee* celebrations (chicha and church)

masham sham, tunalenga tunachorea
chorea
tunalenga tuna chorea
nakam come kwa mwenyezi tuna polea polea
kwa mwenyezi tuna pole

chorus:

club au kanisa ,club au kanisa
wapi kunakubamba bro ni club au kanisa? ( chicha)

club au kanisa, club au kanisa
wapi kunanibamba bro , si club ndio kabisa (triga)

club au kanisa club au kanisa
hakuna kubishana bro church ndio kabisa( triga)

club au kanisa club au kanisa
hakuna kubishana bro church ndio kabisa(chicha)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...