ole - cherry lyrics
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
Random Song Lyrics :
- ближе к тебе (closer to you) - шумм (shumm) lyrics
- khalas artahet - خلاص إرتحت - dina hayek - دينا حايك lyrics
- rejoice - rekak lyrics
- raigeki - william pascal lyrics
- death song - dead days lyrics
- internet capsule - seyeneris lyrics
- you're mine - bacta lyrics
- the heart is quicker than the eye - elaine stritch & bobby van lyrics
- hate - polvris lyrics
- gotta get out - waui maui lyrics