lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

closer - cherry (tz) lyrics

Loading...

[intro]
mmmh
ooh

[verse 1]
ukinigusa
ukinigusa tu
moyo unanienda mbio ooh
ukinigusa hata ukucha tu
unanichanganya mwenzio

[bridge]
siwezi kulala ukiwa mbali
siwezi kudeka ukiwa mbali
sogea karibu ukae nami baby
cause i need you closer

[chorus]
i need u closer
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikueleze
yalionisibu uuh siku nzima
nitue,nitulieee eeeh
(uh, uh, uh, uh) yeah
[verse 2]
tabia zetu zafanana
ukiona twaendana
tena tulivyoshibana
mapenzi yamenogea
kawaida kugombana
kikubwa ni kupatana
mioyo imeshashikana
kiukweli nimekolea

oh, i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
eh
i want to hold you tight
nikikutazama you smile
the way you kiss
you make me feel
you’re the one for me
(closer)

[chorus]
i need you closer
nakuhitaji karibu
daktari tabibu
i need you closer
closer
nakuhitaji karibu
nikuelezе yalionisibu uuh siku nzima

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...