lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ntajioa - chemical flo lyrics

Loading...

eyoo papa
eyoo
it’s chemical
boo piga picha just slay
wakikuita bebe sema heyyy
twende zetu instagram si bei bando buku tu linatosha kila day
shoga yangu lingalinga kama chunchunma
dada yangu linda strii yupo tunduma
ndo vile na vimba sitaki heey
msiniite mchumba mmeniona na chichibyee
stori za nini mimi nataka tu kudanga
kwenye pochi tissue tu sina hata kanga
natembeza lugha zote mpaka za kiganda
nkukunda chenae acha nae sina maana nakupenda
wananiita slay queen
ntajioa
chumba kimoja
ntajioa
waniita mi kijuso mbona poa
wanaume wenyewe wa dar ya nini kutaka ndoa
ntajioa
ntajioa
chemical ntajioa
ntajioa
ivi kweli ntajioa
ntajioa
miandae ntajioa tu
simu nyumba nilipo panga saaa chumba kimoja ka kilinge cha waganga dar
sina kazi na randaranda bar nko kwa diet
narambaramba dagaa na jambajamba harufu za michicha tu
haya maburger na mapizza mapicha tu
kiingereza changu karma na dejàvu
kuna bishi ya cardi b na baby boo
life is too short tunakula gambe tunakula gambe tunakula gambe
i never walk alone nakuja na pambe
nakuja na pambe sponsor ndo ujipange
ntajioa ntajioa
chemical ntajioa
ntajioa
ntajioa
ivi kweli ntajioa
ntajioa
chemical ntajioa
sura ngumu marasha hapo no
photoshop mara tecno
sura ya baba kwa kioo
anioe nani labda stereo
wananiita slay queen
chumba kimoja ntajioa
wananiita mimi kijuso mbona poa
wanaume wenyewe wa dar ya nini kutaka ndoa
ntajioa
ntajioa
ntajioa ntajioa chemical
mi ni endae nitajioa
ntajioa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...