wafoo - chege lyrics
dundo unalonitupia huezi kutembea
pande ninazo tingish-ga huezi kutokea
inabaidi nikuonyeshe nakuchukia hata ukinichekea
moto na unaukanuaga
i say, take care
ushambazo kutokea kijijini na mashambani
shaba kwa wake za watu tu, utawekwa ndani
mwisho wa moto ni majivu
we na roho mbaya na wivu
utakuja kubanwa mbavu
chunga tamaa mbaya
utafanywa vibaya
wafoooo×4
vijisimu simu vyenu siku hizi
mtaharibikiwa
ukiskia mke wa mtu msumu
nyi ghetto mna maziwa
nyatu nyatu, k-mbuka kuna jela kuna kuchekwa na kusahaulika
nyatu nyatu, usijifanye kijego …
mi si shuki maboy pande
utasubiri sana upande
kuna makuzi kutoka mwenge
kafumua kigenge chake
una maneno kma nj3nje
watoka pemba na chakechake
una sifa ya kupitiliza
ujanja mwingi na mbele kiza
chunga tamaa mbaya
utafanywa vibaya
wafooo×4 wako na wafoo
wafooo×4 kuna madogo
tutakuona wafoo
wafooo×2 chire chire
wafoo×2 chire chire
tusitakiane ubaya×3
Random Song Lyrics :
- walking on sunshine (simlish version) - katrina and the waves lyrics
- one little christmas tree - patsy torres lyrics
- dawa xolod + ega v2 - shadowraze lyrics
- blood.kingdom - tomorrowinheaven lyrics
- mary don't cha wanna - the dramatics lyrics
- brabus - chile ima sos & lucky luks lyrics
- ribs - kn93 lyrics
- hole in my heart - mozzy lyrics
- back to bed - the j arthur keenes band lyrics
- dr*p - psihoken & pshoswagga lyrics