wandia - cheed lyrics
[mmmh]
[terriyo monster]
[verse 1]
wandia eh wandia oh nina dukuduku rohoni
wandia eh wandia oh nisikilize makini
namiliki bodaboda penye nia pana njia boo
vidogo vimbogamboga najua unaumia vumilia tu
vishilingishilingi vibanie eh come on
kopa kwa mangi viunga robo tule come on
[pre*chorus]
penzi nitalipopo, yamkini sitoi boko
nitalilinda nitakesha popo
tuuze bamia huku tukilala fofo
[chorus]
usije shindwa vumilia mwendo wa pole [pole]
nipe imani kesho tuzitimize ndoto [pole]
hali yetu vumilia ndo changamoto [pole pole]
iweni juani,kivuli, baridi na joto [pole]
baby pole pole
[verse 2]
tunajidunduliza, maisha yetu duni, oh duni
na ninakusisitiza uweke kibubuni bubuni
hata kwa debe la karanga ni muhimu kujipanga
zawadi vitenge vikanga penzi letu kulijenga ah
milima mabonde twapita, chonde usije zima taa
tone na tonе ndo hujaza litre, don’t feel eh
kwa penzi lеtu roho zawapwita, mama mapenzi vita
*n*lopanga mungu lapita, don’t feel eh
w*ngu my boo my love, twende kidogo dogo [my love]
kidogo my love twende kidogo dogo my love
[pre*chorus]
penzi nitalipopo, yamkini sitoi boko
nitalilinda nitakesha popo
tuuze bamia huku tukilala fofo
[chorus]
usije shindwa vumilia mwendo wa pole [pole]
nipe imani kesho tuzitimize ndoto [pole]
hali yetu vumilia ndo changamoto [pole pole]
iweni juani,kivuli, baridi na joto [pole]
baby pole pole
[mocco g*nius]
Random Song Lyrics :
- we're in berlin - skeleton staff lyrics
- breathe - pingjhahz lyrics
- ho namanao - princio lyrics
- i don't trust you. - kuru lyrics
- women drippin in chanel - jersey demic lyrics
- hey ladies - chrisy lyrics
- potion - jacobjuicebox lyrics
- prince of bel air - samuel varadinis lyrics
- water wings (acoustic) - superchunk lyrics
- honest - domswagg lyrics