lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

unavyonipenda - charisma (french) lyrics

Loading...

wiisi nina vata naku, nye
you know imma ride for you, nye
you know imma die for you, nye
wiisi nina vata naku, nye
wiisi nina vata naku, nye
you know imma ride for you, nye
you know imma die for you, nye
wiisi nina vata naku, nye

kila siku nikiwaza hili penzi letu
lanijaza moyo, we wanijaza moyo
mahasidi marafiki wote wajaribu
kulivunja nooo, but no they don’t know

this loving is forever
no retreat we no surrender
watachoka kusema , mi nawe we no pretenders
this loving is forever
no retreat we no surrender
watachoka kusema , mi nawe we no pretenders

nakuwaza wewe, my pretty baby
things will never be the same
ukiwa nami
wakija kututenganisha, hawataweza
mi nawe ni wa milele
tuko milele

unavyonipenda (nipenda)
tunavyopepea (pepea)
siwezi eleza (eleza)
umeniweza
unavyonipenda (nipenda)
tunavyopepea (pepea)
siwezi eleza (eleza)
umeniweza

mwili hauna spare, nakupa roho yangu promise utakuwa fair
hata nikikosa fare nitapiga squadi niamini i’ll be there
chunga hawa mafisi ni mambweha, wengine ni mabear
chocha za mandai na machupa za bellaire
you know that a kamba boy always takes care of you my darling
so don’t you worry, always be happy
show the cute smile on your pretty face
you my sunshine in the shady day
andu makeo seng’a , undu kanakena new ways moved up from the funny days
ride for you baby imma ride for you (ride for you)
no shoe shiner imma die for you (die for you)
african woman i adore you
and i just called just to say that i love you

nakuwaza wewe, my pretty baby
things will never be the same
ukiwa nami
wakija kututenganisha, hawataweza
mi nawe ni wa milele
tuko milele

unavyonipenda (nipenda)
tunavyopepea (pepea)
siwezi eleza (eleza)
umeniweza
unavyonipenda (nipenda)
tunavyopepea (pepea)
siwezi eleza (eleza)
umeniweza

wiisi nina vata naku, nye
you know imma ride for you, nye
you know imma die for you, nye
wiisi nina vata naku, nye
wiisi nina vata naku, nye
you know imma ride for you, nye
you know imma die for you, nye
wiisi nina vata naku, nye

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...