lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cheda - chacho lyrics

Loading...

[chorus]

niko kivela naseti
nisake tumedi weekendi
kama ni besha napenda
uliza kamithi sitaki mapressure
hizo zako ziliweza
ata saidongi inalipwa
macheda
kama ni besha ni besha
ata mafala hushikwa na pressure

[part 1]

niko kijaba na fuaka
dawa ya mwili ni miti
dawa ya kichwa ni mbichwa
siwezi iva bila filter
safisha rada zimeshika
ata mambleina wahuiva kwa giza
jione nugu ulifika
niheshimu ndugu tu kwa dakika
shika slasha na mi denga
mmoja kamiti na mudder
sikosi mazishi na nala
buda ni ngori ni wagwan
bado si worry n*z*di kuearn man
they always confuse me with man man
middle fingers to you n*gga bad man
see me my n*gga you run run
[chorus]

niko kivela naseti
nisake tumedi weekendi
kama ni besha napenda
uliza kamithi sitaki mapressure
hizo zako ziliweza
ata saidongi inalipwa
macheda
kama ni besha ni besha
ata mafala hushikwa na pressure

[part 2]

niko majengo naseti
kama si vela sipendi
kejani nipate na mbogi
ferrari utapata ni spoti
kuchoki nipate na moshi
kama si vajo nakula saidongi
jicho nyanya iliweza
onasasa tuna vunja recordi
kama si ngoma ni noma
kama ni homa ni choma
kama si cigar ni kush
jina shada washa choma
jina kubwa wana bonga
kuvuta ngale sikuthani umechoma
chacho play na itoka
pigwa nyundo, ngumi, tu naitoka
[chorus]

niko kivela naseti
nisake tumedi weekendi
kama ni besha napenda
uliza kamithi sipati mapressure
hizo zako zili weza
ata saidongi inalipwa
macheda
kama ni besha ni besha
ata mafala hushikwa na pressure

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...