lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nakupenda vibaya - centano lyrics

Loading...

nikikutazama machoni
najiona kabisa

unanivuta unanikiss
unaniambia maliza
je nikikupa nafasi
moyoni hautaniumiza
uniahidi ni kifo
kitatutenganisha

uuuh baby

nitavuka bahari hata kwa miguu
kila siku ili niwe nawe
watakutisha kwa magari
nyumba za fahari
baby usipagawee

(bridge)
namuombaga maurana aah
atuongoze usiku na mchana
kama tukiachana aah
tukutane kesho kiama

namuombaga maurana aah
atuongoze usiku na mchana
kama tukiachana aah
tukutane kesho kiama
(chorus) x
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa

(verse 2)
mi sina uwezo wa kupenya moyo wako
ila najua unanipendaga
na sina jinsi kufungua moyo w*ngu
ningekuonesha kiasi gani umejaa mama

my love uuuh just tell me am the only one
my love uuuh the only thing you should be loving
uuuh until the end of time
my love aah babe usipagawee

(bridge)
namuombaga maurana aah
atuongoze usiku na mchana
kama tukiachana aah
tukutane kesho kiama

namuombaga maurana aah
atuongoze usiku na mchana
kama tukiachana aah
tukutane kesho kiama
(chorus) x
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa
yeah nakupenda vibaya vibayaaa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...