lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

introduce - cboy kb lyrics

Loading...

(introduce)
[chorus}
(it’s kb)
twambiye kenye una taka jama langu

(ya it’s kayan on the beat)

mama ksaun made it again

(verse1)
acha niji introduce zangu
(zangu)
jina langu me ni mr kb

twende ku kitabu cha zaburi
(booty?)
china sema eti ye muhuni
(whaat?)
n*gga apa me niko na swali (uliza ) ivi niki kufa nta enda wapi?) (sijuwi)

jama langu alisha vuta bangi( bangi)

kisha ndo ana anza ku subuwa

apa kwetu naona kuko nvua (nvua?)
mbona zingine fasi sioni maji
shemeji me niko na sikiya njala
kwanza ako wapi? amesha lala

shemeji uko lazy

ivi una juwa brother yangu ali lipa ngapi?

sisi tuna sikiya njala wee una lala sisi tuna changa pesa wee una lala
(verse 2)
uyu dada ali kuyaga state yetu ata ku pika ma mayai ina mshinda

ma n*gga wana kuja state yetu wana kuja ku pituwa na wana sepa

bila ata siye ku juwa ivi vitu kweli vina sikitisha

ukipenda ku howa dada yangu lazima ukuje una vala suti

uki kuja una piga debe tuna kata nguo kisha tuna etupa

jama langu ana jipaka poda ana jiona kama ako handsome

k*mbe n*gga ako na sura mbaya
uyu n*gga ndo nani me simjuwi

ana zidi ku comment ku vitu vyangu
n*gga ana jifanya hani juwi
niko naba fans wana jala instagram niki enda nikute comments

eti kb una ishi wapi?

sasa n*gga leo ndo uta juwa

wanawake tuish*ga wa pituwa ivi vitu sipendagi kuvi sema

kama hauna pesa usi ni semeshi
kama sio ku husu pesa usi semi

demu ali niona eti tushike selfie
(selfie?) jina lako weye sindo kb?

yes b*tch una taka nini?

eti kb ni add ku instagram

bata fanya waki kuona wana jichekesha
k*mbe madani mwao hawa kupendi

apa kwenye niko nina chuki mademu wana zidi kuni tusiiiii

(ni mr kb kb on the beat
dogo makwapa)
ni mrkb a boy from camp
(mbuziboy)
wende u mwabiye baba yako tuna msalimiya
laugh’

(defruze by degoat record)

beat………

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...