one day (with dogo richie) - cashera lyrics
intro
mame mame mame mame mame mino
(doro richie)
nipo gizani (ati nipo gizaniiii)
maybe one day (maybe one daaaaaay) maybe one day
nitakuwa sawa
verse 1
(cash era)
neanza here ndia
from the very bottom now am here
without shoes sijali nadungwa na mia
lakini kweli kwenye nia kuna njia
kuna nuru gizani pius muiru
siku mwenga indabamba nibige nduru
nigule mashamba ta limuru
ruiru, nikale neiba ta wa uhuru
mwana wa mwana wa mame kapeni
ache kawanenzi rero sina mapeni
kuno na kuno senda na madeni
but believe me one day god will make it happen
bemba ngojera bemba hurira
nchizipata mame dhahabu wandakwambira
ah, ni msherati nilluminati
indakaladze siku zizi daily narusha party
chorus (dogo richie)
upo gizani, unahisi mola taa kakuzimia
milango imefungwa hakuna pakutokea ah
hakuna pakutokea, eeh
usikonde, mizuri mipango anakupangia
hajakusahau anakufikiria
vumilia njia atakupatia aah
eh eh eh eh eeh
verse2
(cash era)
dori you my princess
my very own kempiski no regency
my dollar dollar bill you my currency
utumishi kwa wewe am your polisi
ah, kala unakesi keresi
usijali ndakujengera palace
honeymoon ndakuhirika overseas
istanbul uk london na paris
ndakuvisha versace, lui prada na gucci
lunch hwende kempiski hennessey ndo madzuchi
ndakuhirika dubai, chila chitu hundabuy
mpaka wambe mwenye bai, ulage uchia bye
ah, dori hurira dori ngojera
chikugurira buggati nawe undasikira
niilluminati mi msherati
indakaladze siku zizi daily narusha party
chorus (dogo richie)
upo gizani, unahisi mola taa kakuzima
milango imefungwa hakuna pakutokea ah
hakuna pakutokea, eeh
usikonde, mizuri mipango anakupangia
hajakusahau anakufikiria
vumilia njia atakupatia aah
eh eh eh eh eeh
(cash era)
usiskize story, daddy yuko nawe
usifeeli sorry, naniiii
(dogo richie)
usikonde dada, usikonde bratha
usikonde mamaaaa
usikonde babaa
daadyyyyyyy, yuko naweee
chorus (dogo richie)
upo gizani, unahisi mola taa kakuzima
milango imefungwa hakuna pakutokea ah
hakuna pakutokea, eeh
usikonde, mizuri mipango anakupangia
hajakusahau anakufikiria
vumilia njia atakupatia aah
eh eh eh eh eeh
outro
(cash era)
mulungu w-ngu betsuha chijego
niiye mulungu wa meshacka na abednego
ni mubomu si chidogo
mo fire, tonny daddy
thanks machampali for the link up
dogo richie
hinde hudzye atu kwa mulungu
ni mulungu tu ni mulungu tu
Random Song Lyrics :
- hold me pretty - hegy frylea lyrics
- norway / new song - eli (singer) lyrics
- hador haza shelanu - הדור הזה שלנו - hatikva 6 - התקווה 6 lyrics
- childhood dreams/teenage nightmares - riico lyrics
- lover in dark - benta lyrics
- allt som man ska - fisken&potatisen lyrics
- money - amuta stone lyrics
- you’re saying you are mine - jinyoung (b1a4) lyrics
- atlas - my immortal enemy lyrics
- in the air - andrew neil lyrics